Luke 23:29
Kwa maana wakati utafika mtakaposema, ‘Wamebarikiwa wanawake tasa, ambao matumbo yao hayakuzaa, wala matiti yao hayakunyonyesha!’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Ndipo 1 “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” 2 na vilima, “Tufunikeni!” ’
Cross References
Hosea 9:12Hata wakilea watoto, 2 nitamuua kila mmoja. 1 Ole wao 2 nitakapowapiga kisogo! 1
Matthew 24:19Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!
Luke 21:23Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! Kutakuwa na dhiki kuu katika nchi na ghadhabu juu ya hawa watu.