The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 23 › Luke 23:30

Luke 23:30

Ndipo 1 “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” 2 na vilima, “Tufunikeni!” ’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then shall they begin to say to the mountains, Fall on us; and to the hills, Cover us.

In Context

29Kwa maana wakati utafika mtakaposema, ‘Wamebarikiwa wanawake tasa, ambao matumbo yao hayakuzaa, wala matiti yao hayakunyonyesha!’

31Kwa maana kama wamefanya hivi kwa mti mbichi, kwa mti mkavu itakuwaje?”

Read all of Luke 23

Cross References

Hosea 10:8Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu + 10:8 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni , jina lingine la Betheli kwa dhihaka. pataharibiwa: 2 ndiyo dhambi ya Israeli. 1 Miiba na mibaruti itaota 2 na kufunika madhabahu zao. 1 Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” 2 na vilima, “Tuangukieni!” 1

Revelation 9:6Katika siku hizo watu watatafuta kifo lakini hawatakiona, watatamani kufa, lakini kifo kitawakimbia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 23:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 23:29Luke 23Luke 23:31 →