The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 23 › Luka 23:48

Luka 23:48

Watu wote waliokuwa wamekusanyika hapo kushuhudia tukio hili walipoyaona hayo, wakapigapiga vifua vyao kwa huzuni na kwenda zao.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And all the people that came together to that sight, beholding the things which were done, smote their breasts, and returned.

In Context

47Yule jemadari alipoona yaliyotukia, akamsifu Mungu, akasema, “Hakika, mtu huyu alikuwa mwenye haki.”

49Lakini wale wote waliomfahamu, pamoja na wale wanawake waliokuwa wamemfuata kutoka Galilaya, walisimama kwa mbali wakiyatazama mambo haya. 1 Maziko Ya Yesu (Mathayo 27:57-61; Marko 15:42-47; Yohana 19:38-42)

Read all of Luka 23

Cross References

Jeremiah 31:19Baada ya kupotea, nilitubu; 2 baada ya kuelewa, nilijipiga kifua. 1 Niliaibika na kuona haya 2 kwa sababu niliibeba aibu ya ujana wangu.’ 1

Acts 2:37Watu waliposikia maneno haya yakawachoma mioyo yao, wakawauliza Petro na wale mitume wengine, “Ndugu zetu tufanye nini?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 23:48

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 23:47Luka 23Luka 23:49 →