Luke 23:49
Lakini wale wote waliomfahamu, pamoja na wale wanawake waliokuwa wamemfuata kutoka Galilaya, walisimama kwa mbali wakiyatazama mambo haya. 1 Maziko Ya Yesu (Mathayo 27:57-61; Marko 15:42-47; Yohana 19:38-42)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 38:11Rafiki na wenzangu wananikwepa 2 kwa sababu ya majeraha yangu; 2 majirani zangu wanakaa mbali nami. 1
Psalms 142:4Tazama kuume kwangu na uone, 2 hakuna hata mmoja anayejihusisha nami. 1 Sina kimbilio, 2 hakuna anayejali maisha yangu. 1
Matthew 27:61Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwepo mahali pale, wakiwa wameketi mkabala na kaburi. 1 Walinzi Pale Kaburini
Mark 15:47Maria Magdalene na Maria mamaye Yose walipaona mahali pale alipolazwa.
Luke 23:27Idadi kubwa ya watu wakamfuata Yesu, wakiwamo wanawake waliokuwa wakimlilia na kumwombolezea.
John 19:21Viongozi wa makuhani wa Wayahudi wakapinga, wakamwambia Pilato, “Usiandike ‘Mfalme wa Wayahudi,’ bali andika kwamba mtu huyu alisema yeye ni mfalme wa Wayahudi.”