Luke 23:53
Akaushusha kutoka msalabani, akaufunga katika kitambaa cha kitani safi, na kuuweka katika kaburi lililochongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limezikiwa mtu mwingine bado.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
52Yosefu alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
54Ilikuwa Siku ya Maandalizi, nayo Sabato ilikuwa karibu kuanza.
Cross References
Isaiah 53:9Wakamfanyia kaburi pamoja na waovu, 2 pamoja na matajiri katika kifo chake, 1 ingawa hakutenda jeuri, 2 wala hapakuwa na hila kinywani mwake. 1
Mark 15:46Hivyo Yosefu akanunua kitambaa cha kitani safi, akaushusha mwili kutoka msalabani, akaufunga katika kile kitambaa cha kitani, na kuuweka ndani ya kaburi lililochongwa kwenye mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kwenye ingilio la kaburi.