bible.software › Luke › Luke 23 › Luke 23:52
Luke 23:52
Yosefu alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This man went unto Pilate, and begged the body of Jesus.
In Context
51lakini yeye hakuwa amekubaliana na maamuzi na vitendo vya viongozi wenzake. Huyu alikuwa mwenyeji wa Arimathaya huko Uyahudi, naye alikuwa anaungojea Ufalme wa Mungu kwa matarajio makubwa.
53Akaushusha kutoka msalabani, akaufunga katika kitambaa cha kitani safi, na kuuweka katika kaburi lililochongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limezikiwa mtu mwingine bado.
Read all of Luke 23
This Verse In Other Editions
Study Luke 23:52