Luke 24:12
Hata hivyo, Petro akainuka na kukimbia kwenda kule kaburini. Alipoinama kuchungulia, akaona vile vitambaa vya kitani, ila hakuona kitu kingine. Naye akaenda zake akijiuliza nini kilichotokea. 1 Njiani Kwenda Emau (Marko 16:12-13)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Lakini hawakuwasadiki hao wanawake, kwa sababu maneno yao yalionekana kama upuzi.
Cross References
John 20:3Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka mara kuelekea kaburini.