Luke 24:13
Ikawa siku iyo hiyo, wanafunzi wawili wa Yesu walikuwa njiani wakienda kijiji kilichoitwa Emau, yapata maili saba + 24:13 Maili saba ni kama kilomita 11.2. kutoka Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Walikuwa wakizungumza wao kwa wao kuhusu mambo yote yaliyotukia.
Cross References
Luke 24:18Mmoja wao, aliyeitwa Kleopa, akamuuliza, “Je, wewe ndiye peke yako mgeni huku Yerusalemu ambaye hufahamu mambo yaliyotukia humo siku hizi?”