Luka 24:15
Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akaja akatembea pamoja nao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Walikuwa wakizungumza wao kwa wao kuhusu mambo yote yaliyotukia.
16lakini macho yao yakazuiliwa ili wasimtambue.
Cross References
Matthew 18:20Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao.” 1 Kusamehe
John 14:18Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.