Luke 24:21
Lakini tulikuwa tumetegemea kwamba yeye ndiye angelikomboa Israeli. Zaidi ya hayo, leo ni siku ya tatu tangu mambo haya yatokee.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Viongozi wa makuhani na viongozi wetu walimtoa ahukumiwe kufa, nao wakamsulubisha.
22Isitoshe, baadhi ya wanawake katika kundi letu wametushtusha. Walikwenda kaburini leo alfajiri,
Cross References
Psalms 130:8Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli 2 kutoka dhambi zao zote.
Luke 1:68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 1
Acts 1:6Mitume walipokuwa wamekusanyika pamoja, wakamuuliza Yesu, “Bwana, je, huu ndio wakati wa kuwarudishia Israeli ufalme?”
Revelation 5:9Nao wakaimba wimbo mpya, wakisema: 1 “Wewe unastahili kukitwaa kitabu 2 na kuzivunja lakiri zake, 1 kwa sababu ulichinjwa 2 na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu 1 kutoka kila kabila, kila lugha, 2 kila jamaa na kila taifa. 1