Luke 24:32
Wakaulizana wao kwa wao, “Je, mioyo yetu haikuwakawaka kwa furaha ndani yetu alipokuwa anazungumza nasi njiani na kutufafanulia Maandiko?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena.
Cross References
Psalms 104:34Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, 2 ninapofurahi katika Bwana. 1
Proverbs 27:17Kama vile chuma kinoavyo chuma, 2 ndivyo mtu amnoavyo mwenzake. 1
Jeremiah 15:16Maneno yako yalipokuja, niliyala; 2 yakawa shangwe yangu 2 na furaha ya moyo wangu, 1 kwa kuwa nimeitwa kwa jina lako, 2 Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. 1
Jeremiah 23:29“Je, neno langu si kama moto,” asema Bwana, “na kama nyundo ivunjayo mwamba vipande vipande?
John 6:63Roho ndiye atiaye uzima, mwili haufai kitu. Maneno haya niliyowaambia ni Roho tena ni uzima.
Acts 28:23Baada ya kupanga siku ya kuonana naye, watu wengi wakaja kuanzia asubuhi hadi jioni akawaeleza na kutangaza kuhusu Ufalme wa Mungu akijaribu kuwahadithia juu ya Yesu kutoka Sheria ya Mose na kutoka Manabii.