Luke 24:35
Kisha wale wanafunzi wawili wakaeleza yaliyotukia njiani na jinsi walivyomtambua Yesu alipoumega mkate. 1 Yesu Awatokea Wanafunzi Wake (Mathayo 28:16-20; Marko 16:14-18; Yohana 20:19-23; Matendo 1:6-8)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they told what things were done in the way, and how he was known of them in breaking of bread.
In Context
34wakisema, “Ni kweli! Bwana amefufuka, naye amemtokea Simoni.”
36Walipokuwa bado wanazungumza hayo, Yesu mwenyewe akasimama katikati yao, akasema, “Amani iwe nanyi!”
Cross References
Mark 16:12Baadaye Yesu akawatokea wawili miongoni mwa wanafunzi wake walipokuwa wakienda shambani akiwa katika sura nyingine.
Acts 2:42Nao wakawa wanadumu katika mafundisho ya mitume, katika ushirika, katika kumega mkate na katika kusali.