bible.software › Luke › Luke 24 › Luke 24:34
Luke 24:34
wakisema, “Ni kweli! Bwana amefufuka, naye amemtokea Simoni.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Saying, The Lord is risen indeed, and hath appeared to Simon.
In Context
33Wakaondoka mara, wakarudi Yerusalemu. Wakawakuta wale wanafunzi kumi na mmoja na wale waliokuwa pamoja nao, wamekusanyika
35Kisha wale wanafunzi wawili wakaeleza yaliyotukia njiani na jinsi walivyomtambua Yesu alipoumega mkate. 1 Yesu Awatokea Wanafunzi Wake (Mathayo 28:16-20; Marko 16:14-18; Yohana 20:19-23; Matendo 1:6-8)
Read all of Luke 24
Cross References
Luke 22:54Kisha wakamkamata Yesu, wakamchukua, wakaenda naye mpaka nyumbani kwa kuhani mkuu. Lakini Petro akafuata kwa mbali.
This Verse In Other Editions
Study Luke 24:34