Luke 3:14
Askari nao wakamuuliza, “Je, nasi inatupasa tufanye nini?” Akawaambia, “Msimdhulumu mtu wala msimshtaki mtu kwa uongo, bali mridhike na mishahara yenu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Akawaambia, “Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa.”
Cross References
Exodus 23:1“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine.
Matthew 8:5Yesu alipoingia Kapernaumu, jemadari mmoja alimjia, kumwomba msaada,
Acts 10:7Yule malaika aliyekuwa akizungumza naye alipoondoka, Kornelio akawaita watumishi wake wawili pamoja na askari mmoja mcha Mungu aliyekuwa miongoni mwa wale waliomtumikia.
Philippians 2:15ili msiwe na lawama wala hatia, bali mwe wana wa Mungu wasio na kasoro katika kizazi chenye ukaidi na kilichopotoka, ambacho ndani yake ninyi mnangʼaa kama mianga ulimwenguni.
1 Timothy 6:8Lakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo.
Hebrews 13:5Yalindeni maisha yenu msiwe na tabia ya kupenda fedha, bali mridhike na vile mlivyo navyo, kwa sababu Mungu amesema, 1 “Kamwe sitakuacha, 2 wala sitakupungukia.”