Luke 3:20
Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yohana gerezani. 1 Kubatizwa Kwa Bwana Yesu (Mathayo 3:13-17; Marko 1:9-11)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Added yet this above all, that he shut up John in prison.
In Context
21Baada ya watu wote kubatizwa, Yesu naye akabatizwa. Naye alipokuwa akiomba, mbingu zilifunguka.
Cross References
2 Kings 21:16Zaidi ya hayo, Manase pia alimwaga damu nyingi isiyo na hatia, hivi kwamba aliijaza Yerusalemu kutoka mwanzo hadi mwisho, mbali na dhambi ambayo alikuwa amesababisha Yuda kufanya, na hivyo wakatenda maovu machoni pa Bwana.
2 Chronicles 24:17Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walikuja kumpa mfalme heshima, naye akawasikiliza.
Nehemiah 9:26“Lakini hawakukutii nao wakaasi dhidi yako, wakatupa sheria zako nyuma yao. Wakawaua manabii wako, waliowaonya ili wakurudie, na wakafanya makufuru makubwa.
Matthew 21:35“Wale wapangaji wakawakamata wale watumishi, wakampiga mmoja, wakamuua mwingine, na yule wa tatu wakampiga mawe.
Matthew 23:31Hivyo mnajishuhudia wenyewe kwamba ninyi ni wana wa wale waliowaua manabii.
John 3:24(Hii ilikuwa kabla Yohana hajatiwa gerezani).