Luke 3:21
Baada ya watu wote kubatizwa, Yesu naye akabatizwa. Naye alipokuwa akiomba, mbingu zilifunguka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 14:23Baada ya kuwaaga, akaenda zake mlimani peke yake kuomba. Jioni ilipofika, Yesu alikuwa huko peke yake.
Luke 5:16Lakini mara kwa mara Yesu alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba. 1 Yesu Amponya Mtu Mwenye Kupooza (Mathayo 9:1-8; Marko 2:1-12)
Luke 9:28Yapata siku nane baada ya Yesu kusema hayo, aliwachukua Petro, Yakobo na Yohana, akaenda nao mlimani kuomba.
John 12:27“Sasa roho yangu imefadhaika sana. Niseme nini? ‘Baba, niokoe katika saa hii.’ Lakini ni kwa kusudi hili nimeufikia wakati huu.