Luke 3:36
Sala alikuwa mwana wa Kenani, 1 Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi, 1 Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu, 1 Shemu alikuwa mwana wa Noa, 1 Noa alikuwa mwana wa Lameki, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 5:28Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana.
Genesis 6:22Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.
Genesis 7:23Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali, watu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Noa peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina.
Genesis 9:1Ndipo Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia.
Genesis 9:26Pia akasema, 1 “Abarikiwe Bwana, Mungu wa Shemu! 2 Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. 1
Genesis 11:10Hivi ndivyo vizazi vya Shemu. Miaka miwili baada ya gharika, Shemu alipokuwa na miaka 100, akamzaa Arfaksadi.