bible.software › Luke › Luke 3 › Luke 3:35
Luke 3:35
Nahori alikuwa mwana wa Serugi, 1 Serugi alikuwa mwana wa Reu, 1 Reu alikuwa mwana wa Pelegi, 1 Pelegi alikuwa mwana wa Eberi, 1 Eberi alikuwa mwana wa Sala, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which was the son of Saruch, which was the son of Ragau, which was the son of Phalec, which was the son of Heber, which was the son of Sala,
In Context
34Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, 1 Yakobo alikuwa mwana wa Isaki, 1 Isaki alikuwa mwana wa Abrahamu, 1 Abrahamu alikuwa mwana wa Tera, 1 Tera alikuwa mwana wa Nahori, 1
36Sala alikuwa mwana wa Kenani, 1 Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi, 1 Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu, 1 Shemu alikuwa mwana wa Noa, 1 Noa alikuwa mwana wa Lameki, 1
Read all of Luke 3
Cross References
Genesis 10:24Arfaksadi alikuwa baba wa Shela, 2 naye Shela akamzaa Eberi. 1
Genesis 11:18Pelegi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Reu.
This Verse In Other Editions
Study Luke 3:35