The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 4 › Luke 4:13

Luke 4:13

Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao. 1 Mwanzo Wa Huduma Ya Galilaya (Mathayo 4:12-17; Marko 1:14-15)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when the devil had ended all the temptation, he departed from him for a season.

In Context

12Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”

14Kisha Yesu akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando.

Read all of Luke 4

Cross References

John 14:30Sitasema nanyi zaidi, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu anakuja, naye hana kitu kwangu,

James 4:7Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 4:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 4:12Luke 4Luke 4:14 →