Luka 4:12
Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus answering said unto him, It is said, Thou shalt not tempt the Lord thy God.
In Context
11nao watakuchukua mikononi mwao, 2 usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”
Cross References
Deuteronomy 6:16Usimjaribu Bwana Mungu wako kama ulivyofanya huko Masa.
Psalms 106:14Jangwani walitawaliwa na tamaa zao, 2 walimjaribu Mungu nyikani. 1
Matthew 4:7Yesu akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”
Hebrews 3:8msiifanye mioyo yenu migumu, 1 kama mlivyofanya katika uasi, 2 wakati ule wa kujaribiwa jangwani, 1