The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 4 › Luke 4:17

Luke 4:17

naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And there was delivered unto him the book of the prophet Esaias. And when he had opened the book, he found the place where it was written,

In Context

16Yesu akaenda Nazareti, alipolelewa, na siku ya Sabato alikwenda katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome,

18“Roho wa Bwana yu juu yangu, 2 kwa sababu amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwatangazia wafungwa 2 kufunguliwa kwao, 2 na vipofu kupata kuona tena, 1 kuwaweka huru wanaoonewa, 2

Read all of Luke 4

Cross References

Luke 20:42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: 1 “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1

Acts 13:15Baada ya Sheria ya Mose na Kitabu cha Manabii kusomwa, viongozi wa sinagogi wakawatumia ujumbe wakisema, “Ndugu, kama mna neno la kuwafariji watu hawa, tafadhali lisemeni.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 4:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 4:16Luke 4Luke 4:18 →