Luke 4:27
Pia palikuwa na wengi wenye ukoma katika Israeli katika siku za nabii Elisha, lakini hakuna hata mmoja wao aliyetakaswa, isipokuwa Naamani mtu wa Shamu.” + 4:27 Shamu hapa inamaanisha Syria.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Watu wote katika sinagogi waliposikia maneno haya, wakakasirika sana.
Cross References
1 Kings 19:19Hivyo Eliya akaondoka kutoka huko na kumkuta Elisha mwana wa Shafati. Alikuwa akilima kwa jozi kumi na mbili za maksai, na yeye mwenyewe aliongoza ile jozi ya kumi na mbili. Eliya akapita karibu naye, akamrushia vazi lake.
Job 21:22“Je, yuko mtu yeyote awezaye kumfundisha Mungu maarifa, 2 iwapo yeye ndiye ahukumuye hata walio juu ya wote? 1
Job 36:23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, 2 au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 1
Matthew 12:4Aliingia katika nyumba ya Mungu, akala mikate iliyowekwa wakfu, yeye na wenzake, jambo ambalo halikuwa halali kwao kufanya, isipokuwa makuhani peke yao.