bible.software › Luke › Luke 4 › Luke 4:26
Luke 4:26
Hata hivyo Eliya hakutumwa hata kwa mmoja wao, bali kwa mjane mmoja wa Sarepta katika nchi ya Sidoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But unto none of them was Elias sent, save unto Sarepta, a city of Sidon, unto a woman that was a widow.
In Context
25Lakini ukweli ni kwamba palikuwa na wajane wengi katika Israeli wakati wa Eliya, mbingu zilipofungwa kwa miaka mitatu na miezi sita pakawa na njaa kuu katika nchi nzima.
27Pia palikuwa na wengi wenye ukoma katika Israeli katika siku za nabii Elisha, lakini hakuna hata mmoja wao aliyetakaswa, isipokuwa Naamani mtu wa Shamu.” + 4:27 Shamu hapa inamaanisha Syria.
Read all of Luke 4
Cross References
Obadiah 1:20Kundi la Waisraeli walioko uhamishoni Kanaani 2 watarudi na kumiliki nchi mpaka Sarepta. 1 Walioko uhamishoni Sefaradi kutoka Yerusalemu 2 watamiliki miji ya Negebu. 1
This Verse In Other Editions
Study Luke 4:26