The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 4 › Luke 4:30

Luke 4:30

Lakini yeye akapita papo hapo katikati ya huo umati wa watu akaenda zake. 1 Yesu Atoa Pepo Mchafu (Marko 1:21-28)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But he passing through the midst of them went his way,

In Context

29Wakasimama, wakamtoa nje ya mji, wakamchukua hadi kwenye kilele cha mlima mahali ambapo mji huo ulikuwa umejengwa, ili wamtupe chini kutoka kwenye mteremko mkali.

31Kisha Yesu akashuka kwenda Kapernaumu, mji wa Galilaya, na katika siku ya Sabato akawa anafundisha.

Read all of Luke 4

Cross References

John 8:59Ndipo wakaokota mawe ili kumpiga, lakini Yesu akajificha, naye akatoka Hekaluni.

John 18:6Yesu alipowaambia, “Mimi ndiye,” walirudi nyuma na kuanguka chini!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 4:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 4:29Luke 4Luke 4:31 →