Luke 4:37
Habari zake zikaanza kuenea kila mahali katika sehemu ile. 1 Yesu Awaponya Wengi (Mathayo 8:14-17; Marko 1:29-34)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the fame of him went out into every place of the country round about.
In Context
Cross References
Matthew 4:23Yesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.
Mark 1:28Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya. 1 Yesu Amponya Mama Mkwe Wa Simoni (Mathayo 8:14-15; Luka 4:38-39)
Mark 6:14Mfalme Herode akasikia habari hizi, kwa maana jina la Yesu lilikuwa limejulikana sana. Watu wengine walikuwa wakisema, “Yohana Mbatizaji amefufuliwa kutoka kwa wafu, ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake.”