The Bible Software
bible.softwareMarkMark 1 › Mark 1:28

Mark 1:28

Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya. 1 Yesu Amponya Mama Mkwe Wa Simoni (Mathayo 8:14-15; Luka 4:38-39)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And immediately his fame spread abroad throughout all the region round about Galilee.

In Context

27Watu wote wakashangaa, hata wakaulizana wao kwa wao, “Haya ni mambo gani? Ni mafundisho mapya, tena yenye mamlaka! Anaamuru hata pepo wachafu, nao wanamtii!”

29Mara walipotoka katika sinagogi, walikwenda pamoja na Yakobo na Yohana hadi nyumbani kwa Simoni na Andrea.

Read all of Mark 1

Cross References

Micah 5:4Atasimama na kulichunga kundi lake 2 katika nguvu ya Bwana, 2 katika utukufu wa jina la Bwana Mungu wake. 1 Nao wataishi kwa usalama, kwa kuwa wakati huo 2 ukuu wake utaenea hadi miisho ya dunia. 2

Matthew 9:31Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. 1 Yesu Amponya Mtu Bubu

Luke 4:17naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa: 1

Luke 7:17Habari hizi za mambo aliyoyafanya Yesu zikaenea Uyahudi wote na sehemu zote za jirani. 1 Yesu Na Yohana Mbatizaji (Mathayo 11:2-19)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 1:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 1:27Mark 1Mark 1:29 →