Luke 4:7
Hivyo ikiwa utanisujudia na kuniabudu, vyote vitakuwa vyako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If thou therefore wilt worship me, all shall be thine.
In Context
8Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na umtumikie yeye peke yake.’ ”
Cross References
Psalms 72:11Wafalme wote watamsujudia 2 na mataifa yote yatamtumikia. 1
Isaiah 46:6Wengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao, 2 na kupima fedha kwenye mizani; 1 huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu, 2 kisha huisujudia na kuiabudu. 1
Luke 8:28Alipomwona Yesu, alipiga kelele, akajitupa chini mbele yake na kusema kwa sauti kuu, “Una nini nami, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Sana? Nakuomba, usinitese!”
Revelation 4:10wale wazee ishirini na wanne huanguka mbele zake aketiye kwenye kiti cha enzi na kumwabudu yeye aliye hai milele na milele. Huziweka taji zao mbele ya kiti cha enzi, wakisema: 1
Revelation 22:8Mimi, Yohana, ndiye niliyesikia na kuyaona mambo haya. Nami nilipokwisha kuyasikia na kuyaona, nilianguka chini nikasujudu miguuni pa yule malaika aliyekuwa akinionyesha mambo hayo.