The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 4 › Luke 4:6

Luke 4:6

Akamwambia, “Nitakupa mamlaka juu ya milki hizi na fahari zake zote, kwa maana zimekabidhiwa mkononi mwangu nami ninaweza kumpa yeyote ninayetaka.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the devil said unto him, All this power will I give thee, and the glory of them: for that is delivered unto me; and to whomsoever I will I give it.

In Context

5Ibilisi akampeleka hadi juu ya mlima mrefu akamwonyesha milki zote za dunia kwa mara moja.

7Hivyo ikiwa utanisujudia na kuniabudu, vyote vitakuwa vyako.”

Read all of Luke 4

Cross References

Esther 5:11Hamani akajisifia kwao juu ya utajiri wake mwingi, wanawe wengi na kwa njia zote ambazo mfalme amemheshimu kwazo na jinsi alivyomweka juu ya wakuu na maafisa wengine.

Isaiah 23:9Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye alipanga jambo hili, 2 ili kukishusha kiburi cha utukufu wote 1 na kuwanyenyekesha wale wote 2 ambao ni mashuhuri duniani. 1

John 12:31Sasa ni saa ya hukumu kwa ajili ya ulimwengu huu, sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje.

2 Corinthians 11:14Wala hii si ajabu, kwa kuwa hata Shetani mwenyewe hujigeuza aonekane kama malaika wa nuru.

1 Peter 1:24Maana, 1 “Wanadamu wote ni kama majani, 2 nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni; 1 majani hunyauka na maua huanguka, 2

Revelation 12:9Lile joka kuu likatupwa chini, yule nyoka wa zamani aitwaye ibilisi au Shetani, aupotoshaye ulimwengu wote. Akatupwa chini duniani, yeye pamoja na malaika zake. 1 Ushindi Mbinguni Watangazwa

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 4:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 4:5Luke 4Luke 4:7 →