Luke 5:21
Mafarisayo na wale walimu wa sheria wakaanza kuuliza, “Ni nani mtu huyu anayesema maneno ya kukufuru? Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Yesu alipoiona imani yao, akamwambia yule mgonjwa, “Rafiki, dhambi zako zimesamehewa.”
22Yesu akijua mawazo yao akawauliza, “Kwa nini mnawaza hivyo mioyoni mwenu?
Cross References
Exodus 34:6Bwana akapita mbele ya Mose, akitangaza, “ Bwana, Bwana, Mungu mwenye huruma na neema, asiye mwepesi wa hasira, mwingi wa upendo na uaminifu,
1 Kings 21:10Lakini waketisheni watu wawili wabaya kabisa mkabala naye, nao washuhudie kuwa yeye amemlaani Mungu na mfalme. Kisha mtoeni nje na kumpiga kwa mawe hadi afe.”
Psalms 35:5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, 2 malaika wa Bwana akiwafukuza. 1
Psalms 130:4Lakini kwako kuna msamaha, 2 kwa hiyo wewe unaogopwa. 1
Isaiah 43:25“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 wala sizikumbuki dhambi zako tena. 1
Daniel 9:9Bwana Mungu wetu ni mwenye rehema na anayesamehe, hata ingawa tumefanya uasi dhidi yake.