Luke 5:20
Yesu alipoiona imani yao, akamwambia yule mgonjwa, “Rafiki, dhambi zako zimesamehewa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he saw their faith, he said unto him, Man, thy sins are forgiven thee.
In Context
Cross References
Psalms 90:7Tumeangamizwa kwa hasira yako 2 na tumetishwa kwa ghadhabu yako. 1
Isaiah 38:17Hakika ilikuwa ya faida yangu 2 ndiyo maana nikapata maumivu makali. 1 Katika upendo wako ukaniokoa 2 kutoka shimo la uharibifu; 1 umeziweka dhambi zangu zote 2 nyuma yako. 1
Mark 2:5Yesu alipoiona imani yao, alimwambia yule mtu aliyepooza, “Mwanangu, dhambi zako zimesamehewa.”
John 2:25Hakuhitaji ushuhuda wa mtu yeyote kuhusu mtu, kwa kuwa alijua yote yaliyokuwa moyoni mwa mtu.
Acts 11:23Alipofika na kuona madhihirisho ya neema ya Mungu, akafurahi na kuwatia moyo waendelee kuwa waaminifu kwa Bwana kwa mioyo yao yote.
2 Corinthians 2:10Kama ninyi mkimsamehe mtu yeyote, mimi pia nimemsamehe. Kile nilichosamehe, kama kulikuwa na kitu chochote cha kusamehe, nimekwisha kusamehe mbele ya Kristo kwa ajili yenu,