bible.software › Luke › Luke 5 › Luke 5:31
Luke 5:31
Yesu akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus answering said unto them, They that are whole need not a physician; but they that are sick.
In Context
30Lakini Mafarisayo na walimu wa sheria waliokuwa wa dhehebu lao wakawalalamikia wanafunzi wa Yesu, wakisema, “Mbona mnakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na ‘wenye dhambi’?”
32Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.” 1 Yesu Aulizwa Kuhusu Kufunga (Mathayo 9:14-17; Marko 2:18-22)
Read all of Luke 5
Cross References
Jeremiah 8:22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? 2 Je, hakuna tabibu huko? 1 Kwa nini basi hakuna uponyaji 2 wa majeraha ya watu wangu?
Mark 2:17Yesu aliposikia haya akawaambia, “Watu wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.” 1 Yesu Aulizwa Kuhusu Kufunga (Mathayo 9:14-17; Luka 5:33-39)
This Verse In Other Editions
Study Luke 5:31