Luke 5:32
Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.” 1 Yesu Aulizwa Kuhusu Kufunga (Mathayo 9:14-17; Marko 2:18-22)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I came not to call the righteous, but sinners to repentance.
In Context
31Yesu akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.
Cross References
Isaiah 57:15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1
Mark 15:7Wakati huo, mtu aliyeitwa Baraba alikuwa amefungwa gerezani pamoja na waasi wengine waliokuwa wametekeleza uuaji wakati wa maasi.
Luke 4:18“Roho wa Bwana yu juu yangu, 2 kwa sababu amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwatangazia wafungwa 2 kufunguliwa kwao, 2 na vipofu kupata kuona tena, 1 kuwaweka huru wanaoonewa, 2
Luke 15:10Vivyo hivyo, nawaambia, kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu juu ya mwenye dhambi mmoja atubuye.” 1 Mfano Wa Mwana Mpotevu
Luke 19:10Kwa maana Mwana wa Adamu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.” 1 Mfano Wa Fedha (Mathayo 25:14-30)
Acts 2:38Petro akawajibu, “Tubuni, mkabatizwe kila mmoja wenu kwa jina la Yesu Kristo, ili mpate kusamehewa dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.