The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 5 › Luke 5:34

Luke 5:34

Yesu akawajibu, “Je, mnaweza kuwafanya wageni wa bwana arusi kufunga wakati yuko pamoja nao?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said unto them, Can ye make the children of the bridechamber fast, while the bridegroom is with them?

In Context

33Wakamwambia Yesu, “Wanafunzi wa Yohana na wa Mafarisayo mara kwa mara hufunga na kuomba, lakini wanafunzi wako wanaendelea kula na kunywa.”

35Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao. Hapo ndipo watakapofunga.”

Read all of Luke 5

Cross References

Judges 14:10Basi baba yake akateremka kumwona huyo mwanamke. Samsoni akafanya karamu huko, kama ilivyokuwa desturi ya vijana.

Song of Solomon 2:6Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, 2 na mkono wake wa kuume unanikumbatia. 1

Song of Solomon 5:8Enyi binti za Yerusalemu, ninawaagiza: 2 kama mkimpata mpenzi wangu, 1 mtamwambia nini? 2 Mwambieni ninazimia kwa mapenzi. Marafiki 1

Isaiah 54:5Kwa maana Muumba wako ndiye mume wako, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake, 1 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ni Mkombozi wako, 2 yeye anaitwa Mungu wa dunia yote. 1

Zephaniah 3:17Bwana Mungu wako yu pamoja nawe, 2 yeye ni mwenye nguvu kuokoa. 1 Atakufurahia kwa furaha kubwa, 2 atakutuliza kwa pendo lake, 2 atakufurahia kwa kuimba.” 1

Matthew 25:1“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 5:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 5:33Luke 5Luke 5:35 →