Luke 6:16
Yuda mwana wa Yakobo, na Yuda Iskariote ambaye alikuwa msaliti. 1 Yesu Aponya Wengi (Mathayo 4:23-25)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Judas the brother of James, and Judas Iscariot, which also was the traitor.
In Context
15Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Simoni aliyeitwa Zelote,
Cross References
Matthew 26:14Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani
Mark 3:18Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo,
John 14:22Ndipo Yuda, siyo Iskariote, akamwambia, “Bwana, itakuwaje kwamba utajidhihirisha kwetu na si kwa ulimwengu?”
Acts 1:25ili achukue nafasi ya huduma ya utume ambayo Yuda aliiacha ili aende mahali pake mwenyewe.”