John 14:22
Ndipo Yuda, siyo Iskariote, akamwambia, “Bwana, itakuwaje kwamba utajidhihirisha kwetu na si kwa ulimwengu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 10:3Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Luke 6:16Yuda mwana wa Yakobo, na Yuda Iskariote ambaye alikuwa msaliti. 1 Yesu Aponya Wengi (Mathayo 4:23-25)
John 3:9Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
John 6:52Ndipo Wayahudi wakaanza kuhojiana vikali wao kwa wao wakisema, “Mtu huyu awezaje kutupatia mwili wake tuule?”
John 16:17Baadhi ya wanafunzi wakaulizana, “Ana maana gani asemapo, ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona’? Naye ana maana gani asemapo, ‘Kwa sababu ninakwenda kwa Baba’?”
Acts 10:40Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu siku ya tatu na akamwezesha kuonekana na watu.