The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 6 › Luke 6:24

Luke 6:24

“Lakini ole wenu ninyi mlio matajiri, 2 kwa sababu mmekwisha kupokea faraja yenu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But woe unto you that are rich! for ye have received your consolation.

In Context

23“Furahini na kurukaruka kwa shangwe, kwa sababu thawabu yenu ni kubwa mbinguni, kwa kuwa hivyo ndivyo baba zao walivyowatenda manabii. 1

25Ole wenu ninyi mlioshiba sasa, 2 maana mtaona njaa. 1 Ole wenu ninyi mnaocheka sasa, 2 maana mtaomboleza na kulia. 1

Read all of Luke 6

Cross References

Job 21:7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, 2 wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 1

Psalms 49:16Usitishwe mtu anapotajirika, 2 fahari ya nyumba yake inapoongezeka, 1

Proverbs 1:32Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, 2 nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. 1

Amos 4:1Sikilizeni neno hili, ninyi ngʼombe wa Bashani 2 mlioko juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi wanawake mnaowaonea maskini, 2 na kuwagandamiza wahitaji, 1 na kuwaambia wanaume wenu, 2 “Tuleteeni vinywaji!” 1

Haggai 2:9‘Utukufu wa nyumba hii ya sasa utakuwa mkubwa kuliko utukufu wa ile nyumba ya mwanzoni,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. ‘Na mahali hapa nitawapa amani,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.” 1 Baraka Kwa Watu Waliotiwa Unajisi

Matthew 6:5“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 6:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 6:23Luke 6Luke 6:25 →