The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 6 › Luke 6:25

Luke 6:25

Ole wenu ninyi mlioshiba sasa, 2 maana mtaona njaa. 1 Ole wenu ninyi mnaocheka sasa, 2 maana mtaomboleza na kulia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Woe unto you that are full! for ye shall hunger. Woe unto you that laugh now! for ye shall mourn and weep.

In Context

24“Lakini ole wenu ninyi mlio matajiri, 2 kwa sababu mmekwisha kupokea faraja yenu. 1

26Ole wenu watu watakapowasifu, 2 kwani ndivyo baba zao walivyowasifu 2 manabii wa uongo. 1 Wapendeni Adui Zenu (Mathayo 5:38-48)

Read all of Luke 6

Cross References

1 Samuel 2:5Wale waliokuwa na chakula tele wamejikodisha wenyewe 2 ili kupata chakula, 1 lakini wale waliokuwa na njaa 2 hawana njaa tena. 1 Mwanamke yule aliyekuwa tasa 2 amezaa watoto saba, 1 lakini yule ambaye alikuwa na wana wengi 2 amedhoofika. 1

Job 21:11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; 2 wadogo wao huchezacheza. 1

Psalms 49:19atajiunga na kizazi cha baba zake, 2 ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 1

Proverbs 30:9Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukana 2 na kusema, ‘ Bwana ni nani?’ 1 Au nisije nikawa maskini nikaiba, 2 nami nikaliaibisha jina la Mungu wangu. 1

Ecclesiastes 7:3Huzuni ni afadhali kuliko kicheko, 2 kwa sababu uso wenye huzuni wafaa kwa moyo. 1

Isaiah 8:21Watazunguka katika nchi yote, wakiwa na dhiki na njaa. Watakapotaabika kwa njaa, watapatwa na hasira kali, nao, wakiwa wanatazama juu, watamlaani mfalme wao na Mungu wao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 6:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 6:24Luke 6Luke 6:26 →