bible.software › Luke › Luke 6 › Luke 6:33
Luke 6:33
Tena mkiwatendea mema wale tu wanaowatendea ninyi mema, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ hufanya vivyo hivyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if ye do good to them which do good to you, what thank have ye? for sinners also do even the same.
In Context
32“Kama mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwapenda wale wawapendao.
34Tena mnapowakopesha wale tu mnaotegemea wawalipe, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwakopesha ‘wenye dhambi’ wenzao wakitarajia kulipwa mali yao yote.
Read all of Luke 6
Cross References
Isaiah 32:8Lakini mtu muungwana hufanya mipango ya kiungwana, 2 na kwa matendo ya kiungwana yeye hufanikiwa. 1 Wanawake Wa Yerusalemu 1
This Verse In Other Editions
Study Luke 6:33