Luke 6:32
“Kama mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwapenda wale wawapendao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For if ye love them which love you, what thank have ye? for sinners also love those that love them.
In Context
31Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi.
Cross References
1 Peter 2:19Kwa maana ni jambo la sifa kama mtu akivumilia anapoteswa kwa uonevu kwa ajili ya Mungu.