Luke 6:38
Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa. Kipimo cha kujaa na kushindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37“Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa. Msilaumu, nanyi hamtalaumiwa. Sameheni, nanyi mtasamehewa.
Cross References
Exodus 21:24jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
Deuteronomy 19:16Kama shahidi mwenye nia ya kumdhuru mwingine akisimama kumshtaki mtu kwa uhalifu,
2 Samuel 19:36Mtumishi wako atavuka Yordani pamoja na mfalme kwa umbali mfupi tu, lakini kwa nini mfalme anizawadie kwa namna hii?
Esther 7:10Kwa hiyo wakamtundika Hamani mahali alipokuwa ameandaa kwa ajili ya Mordekai. Ndipo ghadhabu ya mfalme ikatulia.
Job 31:16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1
Psalms 18:25Kwa yeye aliye mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu, 2 kwa asiye na hatia, unajionyesha kutokuwa na hatia. 1