Luke 6:45
Vivyo hivyo mtu mwema hutoa mambo mema kutoka kwenye hazina ya moyo wake, naye mtu mwovu hutoa mambo maovu kutoka kwenye hazina ya moyo wake. Kwa kuwa mtu hunena kwa kinywa chake yale yaliyoujaza moyo wake. 1 Mjenzi Mwenye Busara Na Mjenzi Mpumbavu (Mathayo 7:24-27)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
46“Kwa nini mnaniita, ‘Bwana, Bwana,’ nanyi hamfanyi ninayowaambia?
Cross References
Psalms 12:2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; 2 midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 1
Psalms 40:8Ee Mungu wangu, 2 natamani kuyafanya mapenzi yako; 2 sheria yako iko ndani ya moyo wangu.” 1
Psalms 52:2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. 2 Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila. 1
Psalms 59:12Kwa ajili ya dhambi za vinywa vyao, 2 kwa ajili ya maneno ya midomo yao, 2 waache wanaswe katika kiburi chao. 1 Kwa ajili ya laana na uongo wanaotamka, 2
Psalms 71:15Kinywa changu kitasimulia haki yako, 2 wokovu wako mchana kutwa, 2 ingawa sifahamu kipimo chake. 1
Proverbs 4:23Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, 2 maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. 1