Luke 6:44
Kila mti hujulikana kwa matunda yake. Kwa maana watu hawachumi tini kwenye miiba, wala zabibu kwenye michongoma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
43“Hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala hakuna mti mbaya uzaao matunda mazuri.
Cross References
Galatians 5:19Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: Uasherati, uchafu, ufisadi,
James 3:12Je, ndugu zangu, mtini waweza kuzaa zeituni, au mzabibu kuzaa tini? Wala chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu. 1 Aina Mbili Za Hekima