Luke 6:49
Lakini yeye anayesikia maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi bila kuweka msingi. Mafuriko yalipoikumba nyumba ile, ikaanguka mara na kubomoka kabisa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 44:16“Hatutausikiliza ujumbe uliotuambia katika jina la Bwana!
Hosea 4:14“Sitawaadhibu binti zenu wakati 2 wanapogeukia ukahaba, 1 wala wake za wana wenu 2 wanapofanya uzinzi, 1 kwa sababu wanaume wenyewe huandamana na malaya 2 na kutambikia pamoja na makahaba 2 wa mahali pa kuabudia miungu: 1 watu wasiokuwa na ufahamu 2 wataangamia! 1
Matthew 13:20Ile mbegu iliyopandwa kwenye sehemu yenye mawe ni mtu yule ambaye hulisikia neno na mara hulipokea kwa furaha.
Matthew 23:3hivyo inawapasa kuwatii na kufanya kila kitu wanachowaambia. Lakini msifuate yale wanayotenda, kwa sababu hawatendi yale wanayohubiri.
Mark 4:17Lakini kwa kuwa hawana mizizi, wao hudumu kwa muda mfupi tu. Kisha dhiki au mateso yanapoinuka kwa ajili ya lile neno, mara wao huiacha imani.
Luke 8:5“Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia; zikakanyagwa, nao ndege wa angani wakazila.