The Bible Software
bible.software › Mathayo › Mathayo 23 › Mathayo 23:3

Mathayo 23:3

hivyo inawapasa kuwatii na kufanya kila kitu wanachowaambia. Lakini msifuate yale wanayotenda, kwa sababu hawatendi yale wanayohubiri.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All therefore whatsoever they bid you observe, that observe and do; but do not ye after their works: for they say, and do not.

In Context

2“Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose,

4Wao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka mabegani mwa watu, lakini wao wenyewe hawako radhi hata kuinua kidole ili kuisogeza.

Read all of Mathayo 23

Cross References

Exodus 18:19Sasa nisikilize mimi, nitakupa shauri, naye Mungu na awe pamoja nawe. Yapasa wewe uwe mwakilishi wa watu mbele za Mungu na ulete mashauri yao kwake.

Deuteronomy 4:5Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama Bwana Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.

Deuteronomy 17:9Nendeni kwa makuhani, ambao ni Walawi, na kwa mwamuzi ambaye atakuwa kazini wakati huo. Ulizeni kwao nao watawapa maamuzi.

Psalms 50:16Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: 1 “Una haki gani kunena sheria zangu 2 au kuchukua agano langu midomoni mwako? 1

Matthew 21:30“Kisha yule baba akamwendea yule mwanawe mwingine akamwambia vilevile. Yeye akajibu, ‘Nitakwenda, bwana,’ lakini hakwenda.

Romans 2:19kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 23:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 23:2Mathayo 23Mathayo 23:4 →