Luka 7:23
Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And blessed is he, whosoever shall not be offended in me.
In Context
Cross References
Isaiah 8:14naye atakuwa mahali patakatifu; 2 lakini kwa nyumba zote mbili za Israeli atakuwa 1 jiwe lile linalosababisha watu kujikwaa 2 na mwamba wa kuwaangusha. 1 Kwa watu wa Yerusalemu, 2 atakuwa mtego na tanzi. 1
Matthew 13:57Wakachukizwa naye. Lakini Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani kwake.”
John 6:60Wengi wa wafuasi wake waliposikia jambo hili wakasema, “Mafundisho haya ni magumu. Ni nani awezaye kuyapokea?”
1 Corinthians 1:21Kwa kuwa katika hekima ya Mungu, ulimwengu kwa hekima yake haukumjua yeye, ilimpendeza Mungu kuwaokoa wale walioamini kwa upuzi wa lile neno lililohubiriwa.
1 Peter 2:7Kwenu ninyi mnaoamini, jiwe hili ni la thamani. Lakini kwao wasioamini, 1 “Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni,”