Luke 7:27
Huyu ndiye ambaye habari zake zimeandikwa: 1 “ ‘Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, 2 atakayetengeneza njia mbele yako.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Lakini mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.
Cross References
Malachi 3:1“Angalieni, nitamtuma mjumbe wangu, atakayeiandaa njia mbele yangu. Ndipo ghafula Bwana mnayemtafuta atakuja hekaluni mwake. Mjumbe wa Agano, ambaye mnamwonea shauku, atakuja,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Matthew 11:10Huyu ndiye ambaye habari zake zimeandikwa: 1 “ ‘Tazama nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, 2 atakayetengeneza njia mbele yako.’
Luke 1:15Kwa kuwa atakuwa mkuu mbele za Bwana, kamwe hataonja mvinyo wala kinywaji chochote cha kulevya, naye atajazwa Roho Mtakatifu hata kabla ya kuzaliwa kwake.
John 1:23Akawajibu kwa maneno ya nabii Isaya, akisema, “Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Yanyoosheni mapito ya Bwana.’ ”