Luke 7:32
Wao ni kama watoto waliokaa sokoni wakiitana wao kwa wao, wakisema: 1 “ ‘Tuliwapigia filimbi, 2 lakini hamkucheza; 1 tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, 2 lakini hamkulia.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Yesu akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini?
Cross References
Proverbs 17:16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, 2 wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 1
Isaiah 29:11Kwa maana kwenu ninyi, maono haya yote si kitu ila maneno yaliyotiwa lakiri katika kitabu. Kama mkimpa mtu yeyote awezaye kusoma kitabu hiki, nanyi mkamwambia, “Tafadhali kisome,” yeye atajibu, “Mimi siwezi, kwa kuwa kimetiwa lakiri.”
Zechariah 8:5Barabara za mji zitajaa wavulana na wasichana wanaocheza humo.”