bible.software › Luke › Luke 7 › Luke 7:31
Luke 7:31
Yesu akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the Lord said, Whereunto then shall I liken the men of this generation? and to what are they like?
In Context
30Lakini Mafarisayo na wataalamu wa sheria walikataa mpango wa Mungu kwao kwa kutokubali kubatizwa na Yohana.)
32Wao ni kama watoto waliokaa sokoni wakiitana wao kwa wao, wakisema: 1 “ ‘Tuliwapigia filimbi, 2 lakini hamkucheza; 1 tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, 2 lakini hamkulia.’
Read all of Luke 7
Cross References
Matthew 11:16“Lakini kizazi hiki nikifananishe na nini? Kinafanana na watoto waliokaa sokoni wakiwaita wenzao na kuwaambia, 1
This Verse In Other Editions
Study Luke 7:31