The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 7 › Luke 7:35

Luke 7:35

Nayo hekima huthibitishwa kuwa kweli na watoto wake wote.” 1 Yesu Apakwa Mafuta Na Mwanamke Mwenye Dhambi

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But wisdom is justified of all her children.

In Context

34Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, nanyi mnasema: ‘Tazameni huyu mlafi na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na “wenye dhambi.” ’

36Basi Farisayo mmoja alimwalika Yesu nyumbani kwake kwa chakula. Hivyo Yesu akaenda nyumbani mwa yule Farisayo na kukaa katika nafasi yake mezani.

Read all of Luke 7

Cross References

Proverbs 8:32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; 2 heri wale wanaozishika njia zangu. 1

Hosea 14:9Ni nani mwenye hekima? Atayatambua mambo haya. 2 Ni nani mwenye ufahamu? Huyu atayaelewa. 1 Njia za Bwana ni adili; 2 wenye haki huenda katika njia hizo, 2 lakini waasi watajikwaa ndani yake.

Luke 7:29(Watu wote hata watoza ushuru waliposikia maneno ya Yesu, walikubali kwamba mpango wa Mungu ni haki, maana walikuwa wamebatizwa na Yohana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 7:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 7:34Luke 7Luke 7:36 →