Luke 7:29
(Watu wote hata watoza ushuru waliposikia maneno ya Yesu, walikubali kwamba mpango wa Mungu ni haki, maana walikuwa wamebatizwa na Yohana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 51:4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi 2 na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, 1 ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, 2 na kuwa na haki utoapo hukumu. 1
Matthew 21:31“Ni yupi kati yao hao wawili aliyetimiza kile alichotaka baba yake?” Wakamjibu, “Ni yule wa kwanza.” Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanawatangulia kuingia katika Ufalme wa Mungu.
Luke 7:35Nayo hekima huthibitishwa kuwa kweli na watoto wake wote.” 1 Yesu Apakwa Mafuta Na Mwanamke Mwenye Dhambi
Acts 19:3Ndipo Paulo akawauliza, “Je, mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Kwa ubatizo wa Yohana.”
Romans 10:3Kwa kuwa hawakuijua haki itokayo kwa Mungu, wakatafuta kuweka haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu.
Revelation 16:5Ndipo nikamsikia malaika msimamizi wa maji akisema: 1 “Wewe una haki katika hukumu hizi ulizotoa, 2 wewe uliyeko, uliyekuwako, Uliye Mtakatifu, 2 kwa sababu umehukumu hivyo; 1